top of page
Ein neues Haus erhalten
Kuzidishiwa
rasilimali
Ushuhuda
wa kuinuliwa
Kushinda roho ya utumwa
Kubarikiwa
na kazi mpya
Kushinda roho ya kutoendelea
Kupata
gari mpya
Baada ya kumaliza miezi 6 ya ubia na AL, tarehe 30 mwezi wa Sita, nikitembelea yadi ya kuuza magari, bila pesa-kuangalia tu magari kwa sababu mtoto wangu wankiume akianza ku shea gari na mimi. Kablsa sijafika nyumbani, wauza magari wakanipigia simu kuniambia wanaweza kuleta gari ninalolipenda mpaka nyumbani na nikasaini mkataba (nunua bila pesa).
~ Verona Oconner M bia na AL
bottom of page