top of page
AL PARTNER ALL GOLD.png
AL PARTNER ALL GOLD.png

Tazama maswali yanayoulizwa mara kwa mara. Kama swali lako halipo katika orodha hii, jisikie huru kututumia barua pepe kwa alpartners@alleluiaministries.com

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

1. Mbia na AL ni Nani?

Mbia na AL ni mpanzi katika ufalme wa Mungu aliyejitolea kushiriki katika Ushirika wa kiFedha na mchungaji Alph Lukau kwa miezi 6 ili kuujenga Ufalme.

2. Je, nikijiunga katikati ya muhula, je nitaweza kushiriki chakula cha jioni cha Gala?

Unaweza kuwa M bia na AL kwa kuwasilisha fomu ya Ubia na AL au kwa kutembelea ofisi (5 Impala Road, Kelvin View, Sandton, Johannesburg).

3. Nimefanya malipo lakini sijapokea uthibitisho katika barua pepe yangu, Nifanyeje?

Tafadhali kumbuka uthibitisho wa malipo yote yatatumwa Jumatatu mpaka Ijumaa wakati was aa za kazi kupitia barua pepe.

Kama haujapokea uthibitisho huu kwa kipindi cha muda mrefu, tafadhali, usisiste kuwasiliana nasi.

4. Je naweza kuwa M bia na AL wakati wowote?

Ndiyo, unaweza kuwa M-bia na AL wakati wowote.Kujiandikisha tumia Fomu ya Ubia na AL.

5. Je, nikijiunga katikati ya muhula, je nitaweza kushiriki chakula cha jioni cha Gala?

Ili kushiriki katika matukio yoyote, tafadhali kumbuka, lazima dhamira yako ya kifedha iwe imewekwa kwa angalau miezi mi 3.

6. Je, ni mara ngapi chakula cha jioni cha gala huwa kinaandaliwa?

Chakula cha jioni na matukio mengine yanakuwa maalum kwa wabia  hai kwa kipindi husika na yataandaliwa mwisho wa mzunguko wa malipo (miezi 6)Taarifa zitawasilishwa kupitia kikundi cha matangazo cha Whatsap, barua pepe na katika tovuti ya  Wabia na AL.

bottom of page