top of page

JULY 2024
Ubia na AL unakupa nafasi ya kuchagua kutoka kategoria mbalimbali.
Pamoja na kuchagua kategori fulani mwanzo wa ushirika, kuna uwezekano wa kuongeza au kupunguza kiwango cha Ubia mwanzoni mwa msimu wa ushirika au hata katikati ya msimu wa ushirika.

bottom of page